Dogo Janja amfuta machozi mama yake mzazi kwa zawadi nono ‘mwaka wa pili baba hayupo, nitakufanya uwe malkia wangu’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dogo Janja amfuta machozi mama yake mzazi kwa zawadi nono ‘mwaka wa pili baba hayupo, nitakufanya uwe malkia wangu’

Rapa Dogo Janja amemzawadia zawadi ya nyumba mama yake mzazi, ikiwa ni miaka miwili imepita tangu baba yake mzazi afariki dunia.Dogo Janja amesema zawadi hiyo ya nyumba, ina lengo  la kumfuta machozi mama yake mzazi ambaye aliachwa kwenye upweke.


View this post on InstagramWakati my dad anaondoka, nilijua nimeuvaa ubaba Niliapa kukufuta machozi Leo ni mwaka wa pili baba hayupo nimekuliwaza mamaangu Baraka zako Malezi yako Kazi za mikono yangu Zitakufanya uwe MALKIA WANGU DAIMA Nakupenda sana mamaangu This small one is for u mamaa The queen of my heart ♥️ #RestInPeaceDaddyYourWifeIsSafe


A post shared by Abdul Azizi Abubakari Chende (@dogojanjatz) on Dec 4, 2018 at 10:15am PST


The post Dogo Janja amfuta machozi mama yake mzazi kwa zawadi nono ‘mwaka wa pili baba hayupo, nitakufanya uwe malkia wangu’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More