Dola milioni 20 kutumika katika uhifadhi wa Mazingira - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dola milioni 20 kutumika katika uhifadhi wa Mazingira

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Inmi Patterson na  Waziri wa Nchi,  Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira , January Makamba wamezindua mradi utakaogharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni 20, ili kuboresha usimamizi katika kuhifadhi mazingira kwenye ukanda wa Magharibi mwa Tanzania. Mradi huu  wa Uhifadhi wa Mazingira unafadhiliwa na Serikali


Source: Kwanza TVRead More