Domayo atuliza mashabiki Azam - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Domayo atuliza mashabiki Azam

KIUNGO  wa Azam,  Frank  Domayo ‘Chumvi’ amesema hesabu zao ni kuanza vizuri mchezo wa ugenini wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia  watakaocheza nao kesho Jumapili ili wasiwe na presha kubwa katika mechi ya marudiano.


Source: MwanaspotiRead More