DR. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA UAE IKULU ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DR. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA UAE IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 09/08/2018.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy baada ya mazungumzo alip... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More