Drake atoa sababu iliyopelekea kuahirishwa kwa show yake ya Miami na kutoa tarehe mpya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Drake atoa sababu iliyopelekea kuahirishwa kwa show yake ya Miami na kutoa tarehe mpya

Mwishoni mwa wiki hii siku ya Ijumaa ilitangazwa kutokuwepo kwa show ya Drake,Migos, Aubrey pamoja na Three Amigos,Show ambayo ingefanyika Miami nchini Marekani ingawa sababu hazikuwekwa wazi zaidi,baada ya luongea kwenye mitandao ya kijamii  American Airlines Arena na kusema sababu ziko nje ya uwezo wao.Lkini mapema leo Drake ameweza kufnguka juu ya kuahirishwa show hiyo,akisema amelenga zaidi kuangalia juu ya hali hiyo ya kiafya,Drake ameamua kufunguka hayo baada ya stori nyingi kuanza kuzuka na ndipo alipoamua kutamka anajihisi mgonjwa. “Nilitaka tu kusema jinsi hali yangu ya kiafya ilivyo pia kutanguliza samahani baada ya show yangu kuahirishwa.Nilitokewa na hali hii ghafla na ni kitu ambacho sikuwahi kukiona kitu kama hichi mwanzoni katika maisha yangu lakini tu ni kwakuwa nayapenda maisha yangu “aliandika maelezo hayo katika Instagram stori yake.Ujumbe wa Drake kwa urefu zaidi ni huu hapa:-
Tarehe ya Miami sasa imehamishwa hadi Novemba 13 na 14. Halafu baada ya show  ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More