DRC: Chama cha Rais Joseph Kabila kumtangaza mgombeaji urais wake leo - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DRC: Chama cha Rais Joseph Kabila kumtangaza mgombeaji urais wake leo

Mgombeaji urais atakayepeperusha bendera ya chama cha Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila katika uchaguzi mkuu nchini humo Desemba atatangazwa leo Jumatano kwa mujibu wa msemaji wa rais.


Source: BBC SwahiliRead More