Dreamliner yaota mbaya kusafirisha kikosi Stars - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dreamliner yaota mbaya kusafirisha kikosi Stars

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Dk Harrison Mwakyembe, amefichua kwamba ndege ya serikali 'Dream Liner' haitosafirisha kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania, baada ya kupata changamoto ya uwanja watapotua Cape Verde.


Source: MwanaspotiRead More