Drogba atundika daruga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Drogba atundika daruga

Drogba alifunga mabao 157  kwenye michezo 341 ambayo aliichezea Chelsea kati ya miaka  2004 hadi 2012 na alifanikisha kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu England na moja la Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Source: MwanaspotiRead More