Droo ya Kombe la FA: Arsenal wapewa Man Utd, Manchester City nyumbani dhidi ya Burnley - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Droo ya Kombe la FA: Arsenal wapewa Man Utd, Manchester City nyumbani dhidi ya Burnley

Wolves, ambao waliwatoa nje viongozi wa Ligi ya Premia Liverpool katika mechi iliyochezwa Jumatatu, watasafiri kukutana na mshindi kati ya Shrewsbury na Stoke.


Source: BBC SwahiliRead More