DStv imezindua msimu wa soka na imetangaza kurejea kwa ligi kuu ya Italia – Serie A - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DStv imezindua msimu wa soka na imetangaza kurejea kwa ligi kuu ya Italia – Serie A

Ligiya Italia – Serie A-  yarejeaDStv


WatejawaDStvkushuhudialigikubwaulimwengunikwabeichee! ZimoLigiyaUingerezana ya Hispania


 


 Agosti 7, 2018.Baada ya kiu ya muda mrefu, sasa wateja wa DStv wataanza tena kushuhudia moja ya ligi maarufu kabisa duniani – Ligiya Italia – Serie A sasa MultiChoice imetangaza habari njema kuwa kuanzia msimu huu, ligi hiyo itaonyeshwa mubashara kupitia DStv.


MbalinaSerie A ambapo atakuwepo nguli wa soka Cristiano Ronaldo,wateja wa DStv wataendelea kufurahia ligi na michuano mikubwa mingi duniani ikiwemo Ligi ya Uingereza (Premier League) na La Liga.Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria akizungumza wakati wa uzinduzi wa Msimu mpya wa Soka. DStv ilitangaza kurejea kwa ligi ya Italia Serie A msimu huu.


Mbali na habari za kurudi kwa Serie A, DStv pia itaongeza maudhui zaidi katika soka msimu huu. Watumiaji wa DStv Bomba, wataweza kuona zaidi ya mechi 100 katika michuano ya  Serie A na Ligi Kuu ya Uingereza, huku wateja wa DStv Family wao... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More