DStv yazindua kampeni ya mwisho wa mwaka - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DStv yazindua kampeni ya mwisho wa mwaka

NI MUDA MZURI WA KUKIWASHA NA FAMILIA


DStv yatangaza neema kwa wateja wake msimu huu wa sikukuu!


Katika msimu huu wa sikukuu ambapo watu wengi hujumuika na familia zao kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza ofa kabambe kwa wateja wake na wale wanaojiunga na huduma za DStv kupitia kampeni yake maalum ijulikanayo kama ‘Ni Muda wa Kukiwasha na DStv’.


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria amesema wateja wa DStv sasa watapata burudani zaidi za kusisimua kupitia Soka, Filamu, Tamthilia, Katuni na vipindi mbali mbali vya watoto vitakavyoileta familia pamoja na kuimarisha upendo.


Kwa mujibu wa Alpha, zaidi ya maudhui hayo yote yaliyotajwa hapo juu; Katika kunogesha sikukuu, maudhui mapya yatayoongezwa ndani ya DStv. Maudhui hayo ni pamoja na tamthilia ya Kapuni ambayo inaingia msimu wake wa pili katika chaneli ya Maisha Magic Bongo (MMB), Chaneli maalum (EA Movies) yenye mkusanyiko wa filamu bora za Af... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More