DUA LIPA MUIMBAJI NYOTA WA UINGEREZA ANAYEWEKA HISTORIA KILA KUKICHA (VIDEO) - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

DUA LIPA MUIMBAJI NYOTA WA UINGEREZA ANAYEWEKA HISTORIA KILA KUKICHA (VIDEO)

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.30.2018 SAA 12:20 JIONI
Hivi karibuni Dua Lipa aliweza kukonga ulimwengu baada ya kutajwa katika tuzo za BRIT baada ya kutoka orodha kamili ya
walioteuliwa  (Januari 13).
Muimbaji wa wa 'New Rules' na nyimbo inayofanya vizuri kwa sasa "IDGAF"amechaguliwa kama Msanii wa Kike wa Uingereza (Solo) katika kipengere cha Video ya masanii wa Uingereza ya Mwaka.Uteuzi wake si tu kuwa shangaza wengi,mpaka yeye mwenyewe ameshangaa baada ya wasanii kuwa wengi na wengi walitarajia kutokana na kufanya vizuri kwa nyimbo yake
"IDGAF"
ANGALIA VIDEO YA "IDGAF"...

Dua Lipa aliyezaliwa (Tarehe 22 Agosti 1995) ni mwimbaji wa Uiingereza, mtunzi, na mwanamitindo .
Kazi yake ya muziki alianza akiwa na miaka 14, alipoanza (kuzifunika) nyimbo na wasanii wengine kwenye YouTube .

Mwaka 2015, alisainiwa na Warner Music Group na akamtoa nyimbo yake ya kwanza baada ya muda mfupi. Mnamo Desemba 2016, makala kumuhusu Lipa iliagizwa na gazeti laThe Fader , lililoitwa See in Blue .

Mnamo Januari 2017, alishinda tuzo ya EBBA iliyochaguliwa na Umma. [7] albamu yake ya kwanza yenye jina la kwanza ilitolewa tarehe 2 Juni 2017.

Albamu hiyo ilikuwa na nyimbo saba, ikiwa ni pamoja na mbili zilizoingia katika Top 10 ya chati Uingereza "Be the One" na "IDGAF" na nyimbo namba moja kwa Uingereza "New Rules".  NYIMBO ZUNGINE DUA LIPA.

NYINGINE >>>..K

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates


Source: Jamii na MichezoRead More