Dudubaya aachia wimbo mwingine ‘Dude’ baada ya ‘Konki’ na Rayvanny kufanya vizuri (+ Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Dudubaya aachia wimbo mwingine ‘Dude’ baada ya ‘Konki’ na Rayvanny kufanya vizuri (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  Dudu baya ameachia au ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Dude, msanii huyo huyo ameachia wimbo huo baada ya ngoma yake ya Konki na Ryavanny kufanya vizuri. wimbo huo akiufanya kwa T touch.https://www.youtube.com/watch?v=serIk5Y2wWg


By Ally Juma.


The post Dudubaya aachia wimbo mwingine ‘Dude’ baada ya ‘Konki’ na Rayvanny kufanya vizuri (+ Audio) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More