Ebitoke Ajibu Tetesi za Kujichubua - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ebitoke Ajibu Tetesi za Kujichubua

Siku chache baada ya mwanadada Ebitoke ku-break the internet baada ya kuweka picha katika ukurasa wake akiwa beach, mwanadada huyo aliaandamwa sana kwanza kutokana na kuzoeleka kwake na muonekano wake hakuwahi kuonekana akivaa nguo za wazi kiais icho.


Hata hivyo, mwanadada huyo alisemwa pia kuwa picha hiyo imeonuesha kwa sasa jisni mwanadada huyo alivyojichubua na ngozi yake imebadilika sana sio kama Ebitoke yule aliyekuwa zamani.


Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, ebitoke amesema kuwa watu hawapaswi kuamini sana kila wanachokiona katika mitandao ya kijamii kwa sababu vitu vingine vimekuwa editing na havina ukweli  wowote.


The post Ebitoke Ajibu Tetesi za Kujichubua appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More