Ebola: Tanzania yaishangaa WHO - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ebola: Tanzania yaishangaa WHO

SERIKALI ya Tanzania imeeleza kushangazwa na kauli ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwamba ilikugoma kutoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola. Anaripoti Faki Sosi … (Endelea). “Sisi wenyewe tumeshangaa kwanini WHO (Shirika la Afya Duniani) wametoa taarifa ya kwamba hatujawapa sampuli? Sisi tunashangaa kwanini wametoa hiyo taarifa lakini nyie wenye ni mashahidi, mwakilishi wa WHO ...


Source: MwanahalisiRead More