Ecobank Tanzania Limited yakutana na wateja wao jijini Dar es Salaam - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ecobank Tanzania Limited yakutana na wateja wao jijini Dar es Salaam

 Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Mwanahiba Mzee akizungumza na wateja wa  Ecobank  wakati wa hafla ya kuongea na wateja lengo ikiwa ni kukutana na wateja wao kuwasikiliza ili kuboresha huduma, ufanisi pamoja na kuwa karibu zaidi na wateja wao wakati wa siku ya wateja wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkuu wa kitengo cha biashara Ecobank Tanzania Respige Kimati akiwasilisha mada kwa wateja wa benki hiyo wakati wa hafla iliyowakutanisha wateja mbalimbali wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es SalaamMkuu wa kitengo cha Kidigitali Ecobank Tanzania, Filemon Tesha akiwasilisha mada mada kuhusu utumiaji wa benki hiyo kwa njia ya kidigitali wakati wa hafla iliyowakutanisha wateja mbalimbali wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es SalaamMkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Ecobank Tanzania, Furaha Samalu akiwa kwenye picha ya pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla iliyowakutanis... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More