EDWIN MTEI: "GENIUS" ALIYEZALIWA KIMAAJABU KWENYE MASHAMBA YA MAHINDI NA MAHARAGE!!! - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

EDWIN MTEI: "GENIUS" ALIYEZALIWA KIMAAJABU KWENYE MASHAMBA YA MAHINDI NA MAHARAGE!!!

1. Usuli:
1.1 Mama MTEI azaa na Binamu wa Mume wake:
Bi.NGIANAELI NGEKALIO, mama yake EDWIN MTEI,  alikuwa ameolewa na Bw. VICTOR SHAMBARI MTEI ambaye alifariki mwaka 1928. Bw. VICTOR alikuwa akiishi jirani kabisa na binamu yake aliyeitwa Bw. ELIAPENDA NGAPANYI MTEI. Baada ya Bw. VICTOR kufariki, Bw. ELIAPENDA akawa akifika mara kwa mara nyumbani kwa mama yake MTEI kumfariji na kumsaidia kazi mbalimbali kwani aliachwa na watoto 2. Matokeo ya ziara hizo za kumfariji ni mama huyo kupata ujauzito!.
1.2 Kuzaliwa kwa EDWIN MTEI:
EDWIN MTEI alizaliwa asubuhi ya siku ya Jumanne, tarehe 12.7.1932 baba yake akiwa ni Bw. ELIAPENDA NGAPANYI MTEI. Siku hiyo, mama yake akiwa mja mzito na akiwa na rafiki na jirani yake, Bi. NDEAMBILIASIA, waliamka asubuhi sana na kwenda eneo la Rawuya kwenye shamba la mahindi na maharage lililokuwa kilometa 8 toka Marangu. Baadae asubuhi hiyo, Bi. NGIANAELI akajifungua mtoto EDWIN na mchana akarejea kibabe nyumbani huku baby MTEI akiwa amebebwa na Bi. NDEAMBILIASIA. Wa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More