ELIMU NA UJUZI WA VITENDO IPELEKWE KWA WAKULIMA VIJIJINI-ULEGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ELIMU NA UJUZI WA VITENDO IPELEKWE KWA WAKULIMA VIJIJINI-ULEGA

Na Woinde Shizza Michuzi Tv,Arusha

Naibu waziri wa Wizara ya mifugo na uvuvi Abdalla Ulega amesema kuwa Elimu na ujuzi Wa vitendo ipelekwe kwa wakulima wa vijijini pamoja na wafugaji ili kuwa na wafugaji wenye kufuga kisasa na hatimaye kuchangia katika kufikia uchumi Wa viwanda kama kauli mbiu ya maonyesho ya mwaka huu ya nane nane inavyosema Kilimo ,mifugo na uvuvi kwa ukuaji Wa uchumi Wa nchi.

Ulega ameyasema hayo Leo wakati akifunga maonesho ya 26 ya kilimo na mifugo (nanenane )kwa Kanda ya kaskazini yalikuwa yakifanyika katika viwanja vya Themi Njiro ambapo alisema kuwa kwakuzingatia kauli mbiu maarifa haya yaliotolewa katika maonyesho haya yasipoishia hapa nchi yetu itajitosheleza kwa chakula na mifugo na hatutakuwa na haja ya kuitaji chakula cha msaada bali tutakuwa na chakula cha kutosha .

Alibainisha kuwa tukichukuwa ujuzi huu tulioupa hapa tutapata mazao bora na mifugo ambapo tutauza mazao ya kilimo na mifugo kibiashara ndani ya nchi na nje ya nchi ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More