Elizabeth Awekwa Katika Orodha ya washindi wa miss World. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Elizabeth Awekwa Katika Orodha ya washindi wa miss World.

Mwanadad Elizabeth kutoka nchi Tanzania mabe kwa sasa yuko katika mashindano ya miss world akiwakilisha tanzania,  anatajwa kuwa kati ya warembo maarufu wanaoweza kushinda taji hilo kwa mwaka huu.


Mwanadada huyo ambae hata katika  baadhi ya mahojiano yake amekuwa akionekana akijibu kwa kujiamini na pia amekuwa moja kati ya warembo wenye stara amewekwa katika kundi la kuwa mshindi.


Katika mtandao wa kura za wananchi wa nchi mbalimbali inaonyesha kuwa mwanadada elizabeth ameshika nafasi ya nne kitu ambacho kinatia moyo kwamba inawezekana kama kura zinaweza kuongezeka basi mwanadada huyo anaweza kunyakua taji hilo.


Katika kufanikisha swala hilo watanzania wanaombwa kupiga kura kwa wingi ili kufanikisha swala hilo na kumfanya mwanadada huyo kuibuka kidedea.


 


 


The post Elizabeth Awekwa Katika Orodha ya washindi wa miss World. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More