Emery aambiwa ambebe Rabiot - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Emery aambiwa ambebe Rabiot

GWIJI wa Arsenal, Mfaransa Robert Pires amedai kwamba kocha Unai Emery ndiye mwenye nafasi kubwa ya kunasa huduma ya kiungo Adrien Rabiot na kumvuta huko Emirates kwa sababu ya ukaribu wake na Paris Saint-Germain kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.


Source: MwanaspotiRead More