EMIRATES WAELEZA MIPANGO YA KIBIASHARA, WAZUNGUMZIA FURSA ZA KIBIASHARA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

EMIRATES WAELEZA MIPANGO YA KIBIASHARA, WAZUNGUMZIA FURSA ZA KIBIASHARA


Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Ndege la Emirates nchini Tanzania Rashed Alfajeer akizungumza na Wanahabari jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio na jinsi wanavyoliendesha shirika hilo. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Ndege la Emirates nchini Tanzania Rashed Alfajeer akizungumza na Wanahabari jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio na jinsi wanavyoliendesha shirika hilo. Pembeni ni mmoja wa wafanyakazi wa shirika hilo, Tununu Kasambala. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Mwandishi wa TBC1 Stanley Ganzel akiuliza swali.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Ndege la Emirates nchini Tanzania (hayupo pichani).Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Ndege la Emirates nchini Tanzania Rashed Alfajeer (wa sita kutoka kushoto) akiwa na wanahabari waliohudhuria mkutano wake.
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Ndege la Emirates nchini Tanzania Rashed Alfajeer amesisitiza kuendelea kutoa huduma bora... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More