EMIRATES YAZINDUA APP KWA LUGHA YA KIARABU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

EMIRATES YAZINDUA APP KWA LUGHA YA KIARABU

Vipengele vyote vya app ya Emirates sasa vinapatikana kwa lugha ya Kiarabu, ikileta jumla ya lugha 19. App ya Emirates sasa inapata wastani download 600,000 kila mwezi na inaruhusu watumiaji kutafuta, vitabu na kuweza kufanya booking na kuangalia vitu ambazo vinaweza kuwasaidia kwenye safari yao ya ndege pamoja na akaunti zao za Emirates Skywards.
Emirates ni shirika la ndege pekee duniani kuwa na app yake ya simu inayopatikana katika lugha 19, ikiwa ni pamoja na Kiarabu, Kiingereza, kichina ya kizamani na Kichina Kilichorahisishwa , Kicheki, Kifaransa, kijerumani, Kigiriki, Kiitaliano, Kijapani, Kikorea, Kireno (Brazil na Ureno), Kipolishi, Kirusi , Kihispania, Thai na Kituruki
Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la Emirates imetumia ufahamu wa kuchambua wateja ili kuboresha njia zote za kidigital. Mwaka wa mwisho wa kifedha, robo ya mauzo yote ya tiketi yalitolewa kwenye mtandao na channeli za simu na wateja zaidi ya asilimia 40 waliweza kucheck kupitia app ya shirika hilo.
"Tumefanya... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More