Emmanuel Mbasha Amtolea Povu Zito Mc Pilipili Kuhusu Mahusiano na Uokovu - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Emmanuel Mbasha Amtolea Povu Zito Mc Pilipili Kuhusu Mahusiano na Uokovu

 Mc Pilipili Akiwa na mppenzi wake ambae ndio mke wake mtarajiwa.


Msanii wa nyimbo za injili Emmanuel Mbasha amefunguka na kuonyeshwa na tabia  ya baadhi ya watu wanaojiita kuwa wameokoka lakini wamekuwa wakifanya mambo kinyume na uokovu wanaosema wanaishi.


Emmanuel ameonyeshwa kuchukizwa na tabia ya Mc pilpili na mpenzi wake kuwa karibu kila mahala wakati kwa sheria za kanisa watu hao hawaruhusiiw kuwa karibu hata kama wameshatoleana mahali mpaka pale wawili hao watakapo halalishwa kanisani.


Mc pilipili anasema kuwa anataka kuwafatilia kwa karibu watu hao kwa sababu wamekuwa wakiongozana sana na hii inadhalilsha sana uokovu hivyo wanapaswa kukaa mbali na ikibidi msichana kuamia kwa uongzoi wa kanisa mpaka pale wawili hao watakapofunga ndoa. 


 


The post Emmanuel Mbasha Amtolea Povu Zito Mc Pilipili Kuhusu Mahusiano na Uokovu appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More