ENEO LILILOPATA AJALI YA WATU 20 NA MAJERUHI 45 MBEYA LAFANYAIWA MAOMBI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ENEO LILILOPATA AJALI YA WATU 20 NA MAJERUHI 45 MBEYA LAFANYAIWA MAOMBI

 Waumini na Viongozi wa Kanisa la The Pool of Siloam la Jijini Mbeya wakifanya maombezi maalumu katika eneo ambalo ajali ilitokea na kusababisha vifo vya watu 20 na wengine 45 kujeruhiwa katika Mteremko wa Mlima Iwambia - Mbeya.Waumini wa Kanisa la The Pool of Siloam la Jijini Mbeya, leo wamekusanyika na kufanya maombi maalumu katika eneo la Mlima Mbalizi, ambalo hivi karibuni ilitokea ajali naada ya magari manne kugongana na kusababisha vifo vya watu 20 na majeruhi 45.
Waumini hao wakiwa wameongoza na kiongozi wao, Kuhani Wisdom Shangwe, wamesema lengo la maombi hayo ni kuzuia jinamizi la ajali lililoukumba Mkoa wa Mbeya.
Akizungumza baada ya maombi hayo, Kuhani Shangwe, amesema licha ya serikali kuweka mikakati ya kuhakikisha ajali zinatokomea kuna nguvu ya ziada inahitajika ya kukemea mapepo.
“Mkoa wa Mbeya kwa sasa umekumbwa na mfululizo wa matukio ya ajali na kumwaga damu za watu wasio na hatia hivyo makanisa yana wajibu wa kutetea roho hizo pamoja na kuzuia mapepo ambayo yanatumi... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More