England yaipiga mkono Kosovo, Sterling hakamatiki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

England yaipiga mkono Kosovo, Sterling hakamatiki

Baada ya Valon Berisha kufungwa bao ndani ya sekunde 35, timu ya Taifa ya England iilibadilika na kuichakaza Kosovo kwa mabao matano katika dakika 45 za kipindi cha kwanza katika ushindi 5-3, huku Raheem Sterling na Jadon Sancho waking’ara kwenye mchezo huo.


Source: MwanaspotiRead More