Enzo Perez kuvaa viatu vya Lanzini Argentina - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Enzo Perez kuvaa viatu vya Lanzini Argentina

Enzo Perez amejumuishwa kikosi cha Argentina kuwa mbadala wa Manuel Lanzini.

Kiungo wa West Ham Lanzini aliondolewa kikosini baada ya kuumia goti kwenye mazoezi ya timu hiyo siku ya Ijumaa.

Kiungo wa River Plate, Perez mwenye umri wa miaka 32 , amecheza mechi 23 za timu ya taifa pamoja na ile ya Fainali ya kombe la Dunia mwaka 2014 ambapo walifungwa na Ujerumani.
Source: Sports KitaaRead More