EPL inazidi kuongeza kachumbali - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

EPL inazidi kuongeza kachumbali

Na Robert KombaMwandishi wa kitabu cha soka “The mixer” kinachoelezea historia na maendeleo ya mbinu za soka katika EPL, Anaitaja ligi hiyo kuwa ni “mixer” yaani mchanganyiko wa mbinu mbali mbali za soka. Akiwataja makocha kama Pep Guardiola, Antonio Conte, Jurgen Klopp, Jose Mourinho na Mauricio Pochetino kwa jinsi wanavyoonyesha mchanganyiko wa mbinu katika ligi hiyo.Yamkini alikuwa sahihi alipoandika kitabu hicho januari ya mwaka 2017,kwani mwaka 2018 tumeshuhudia ujio wa makocha Maurizio Sarri, Unai Emery na Nuno Espírito Santo.


Uwepo wa makocha wenye falsafa tofauti za soka unaifanya ligi ya uingereza kuvutia zaidi, kwani mechi nyingi za ligi zinatoa uhondo kwa kuangalia nani ataziweza mbinu za mwenzake.Na kwa upande wa makocha wanapata kukabiliana na mbinu tofauti na kwa namna hiyo wanaboresha mbinu zao. Kufundisha katika ligi ya Uingereza kwa sasa inampa kocha changamoto inayofanana na ile wanayoweza kuipata wakiwa katika ligi ya mabingwa kwani wanakabiriana mbinu... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More