Erasto Nyoni awavimbia AS Vita - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Erasto Nyoni awavimbia AS Vita

Beki Erasto Nyoni ameendelea kuonyesha ukomavu. Nyoni ameibeba Simba kwenye idara yao ya ulinzi kwa kuokoa hatari kadhaa zilizokuwa zikitokea upande wa Tshabalala ambaye amekuwa akikatika.


Source: MwanaspotiRead More