Eric Shigongo aeleza A-Z chanzo cha bifu lake na WCB, amtaja Wema na Diamond - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eric Shigongo aeleza A-Z chanzo cha bifu lake na WCB, amtaja Wema na Diamond

Mjasiriamali na mwaandishi wa vitabu, Eric Shigongo ambaye alikuwa mmoja kati ya wageni waalikwa kwenye tukio la Diamond kutoa misaada Tandale, amefunguka kuzungumzia chanzo cha ugomvi wake na uongozi wa WCB.Shigongo ametoa kauli hii


Shigongo amedai kauli yake ya kwamba uongozi wa WCB ulikuwa unampeleka shimoni Diamond Platunumz kutokana na kuzipiga chini  show nyingi za ndani na kufanya za nje tu, ilikuwa ina lengo la kumfanya muimbaji huyo aone kuna umuhimu wa kuwathamini watanzania ambao wamemfanya afike hapo alipofikia.


Takriban miaka mitatu iliyopita mimi na wafanyakazi wenzangu katika Kampuni ya Global Publishers tunayofanyia kazi tulikaa chini na kuamua kufanya tamasha la kurejesha kwa jamii iliyotufikisha hapa tulipo, tukachagua eneo la watu wa kawaida liitwalo Tandale jijini Dar es Salaam, ambako ilitokea kukawa ndiko ambako msanii maarufu Diamond Platnumz anatokea.


Tamasha lililoitwa Twen’zetu Ubilioneani liliandaliwa kwenye Uwanja wa Maguniani-Tandale vilivyoko katikati... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More