Eric Shigongo Asema Menejiment ya Daimond Ndio Sababu ya Kugombana Kwao - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eric Shigongo Asema Menejiment ya Daimond Ndio Sababu ya Kugombana Kwao

Mjasiramali na mtunzi wa vitabu kutoka nchini  Tanzania Eric shigongo amefunguka mazito kuhusu bifu lililokuwepo kati yake na msanii Diamond Platinumz na kusema kuwa sababu kubwa ya kutokupatana kwao ilikuwa ni uongozi wa Diamond ambao haukuwa unamuongoza kama alivyotakiwa kuongozwa.


Katika makala yake ndefu aliyoiandika, Eric alianza kwa kumpongeza lakini hku akisema kuwa alichokifanya mwaka huu ndicho kilichowagombanisha miaka kadhaa iliyopita na menejiment yake kwa sababu ya tamasha aliloliandaa ambalo lilikuwa la wazi kwa wananchi wa Tandale.


eric anasema kuwa aliamua kuwaalikia wsanii mbalimbali katika moja ya matamsha makubwa aliyoamua kufanya tandale na kwa sababu aliamini kuwa diamond ametokea huko basi tamasha linaweza kuwa lenye mafanikio kwa sababu lengo lilikuwa ni kuwarudishia maskini fadhila na kuwa nao karibu.


Eric anasema kuwa kutokana na uongozi wake unaomshauri sana Diamond wamekuwa wakimshauri sana kufanya shoo nje ya nchi kuliko za humu ndani bila kujali kuwa kuna ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More