ERICK KABENDERA KUANZA MAJADILIANO NA DPP - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ERICK KABENDERA KUANZA MAJADILIANO NA DPP

Na Karama Kenyunko, Globu ya JamiiMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, imeelezwa kuwa, mshtakiwa Erick Kabendera anakusudia kuanza majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini, (DPP) ya namna ya kumaliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili.
 Wakili anayemtetea Kabendera, Jebra Kambole ameeleza hayo leo Oktoba 11 Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizile wakati kwaindhidi ya Kabendera ilipokuja kwa kutajwa
Mapema, wakili wa serikali Wankyo Simon alidai kuwa Kesi hiyo leo imepangwa kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wake bado haujakamilika.
Baada ya Wankyo kueleza hayo, Wakili wa Kambole aliijulisha Mahakama taarifa hiyo kwa mujibu wa kifungu namba 194A(2) cha sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019.
Baada ya taarifa hiyo kuelezwa, Wankyo alidai kuwa ni kweli jambo hilo limefanyika kuwa Kabendera ameandika barua na kwamba ipo Katika mchakato na kwamba watakapokuwa wamekamilisha wataitaarifu Mahakama.
 Baada ya kusikiliza hoja hizo Hakim... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More