Esma Amwita Mpenzi Mpya wa Hamisa Mario - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Esma Amwita Mpenzi Mpya wa Hamisa Mario

Mwanadada Esma Platinumz ambae ni dada wa msanii Diamond platinumz amefunguka na kutoa yake ya moyoni baada ya mashabiki wa Hamisa kumsifia  sana mwanaume mpya wa Hamisa kuwa yuko tofauti sana na wanaume aliyowahi kuwa nao katika mahusiano akiwemo Diamond platinumz.


katika uwanja wa maoni, Esma alindika la moyoni baada ya kukwera na kile kilichokuwa kikisemwa na mahsbiki kuhusu kaka yake na kuandika “tofauti yao ni nini maana mbona huyo kwa kwenu anaonekanakuwa mario”


Hamisa kwa mara ya kwanza leo aliandika katika ukursa wake kuwa mwanaume huyo ambae amekuwa akihisiwa kuwa yuko nae katika mahusiano ni kweli kuwa ndio mpenzi wake kwa sasa.


The post Esma Amwita Mpenzi Mpya wa Hamisa Mario appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More