Esperance, Al Ahly ni vita ya kisasi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Esperance, Al Ahly ni vita ya kisasi

Bingwa wa fainali hiyo atajinyakulia dola2.5 milioni mshindi wa pili atapata nusu ya hiyo. Pia bingwa anapata tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia la Klabu la Fifa litakalofanyika United Arab Emirates mwezi ujao na timu ya mwisho inajinyakulia dola1 milioni.


Source: MwanaspotiRead More