Esperance yaipiga Al Ahly nje ndani yatwaa ubingwa Afrika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Esperance yaipiga Al Ahly nje ndani yatwaa ubingwa Afrika

Esperance iliyofungwa mabao 3-1 katika fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana usiku ilifanikiwa kuandika historia baada ya kupindua matokeo kwa kuifunga kwa mabao 3-0 Al Ahly ya Misri katika mechi ya pili ya fainali hivyo kutwaa taji kwa jumla ya mabao 4-3.


Source: MwanaspotiRead More