Ethiopia Vs Kenya: Tukifanya haya, ushindi lazima - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ethiopia Vs Kenya: Tukifanya haya, ushindi lazima

Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’, inashuka dimbani kesho, ugani Bahir Dar, nchini Ethiopia, kuwavaa Wahabeshi, wakiwa na nia na ari ya kupata ushindi. Mchezo huo wa Kundi F, ambao ni watatu na  muhimu katika kikosi cha Sebastien Migne.


Source: MwanaspotiRead More