Ethiopia yatia saini mkataba wa kumaliza uhasama na waasi wa Oromo Liberation Front - OLF - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ethiopia yatia saini mkataba wa kumaliza uhasama na waasi wa Oromo Liberation Front - OLF

Serikali ya Ethiopia imetia saini muafaka wa amani na kundi moja kuu la waasi nchini humo Oromo Liberation Front- OLF, ili kukomesha uhasama nchini humo.


Source: BBC SwahiliRead More