Eti Emery anataka kumpiga bei Lacazette - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eti Emery anataka kumpiga bei Lacazette

Straika wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameripotiwa kuwekwa kwenye rada za Fenerbahce ya Uturuki na huenda kocha mpya wa timu hiyo ya Emirates, Unai Emery anaweza kukubali kumpiga bei. Kumekuwa na madai Kocha Emery hampigii sana hesabu mshambuliaji huyo wa Kifaransa hivyo atakuwa tayari kupokea ofa yoyote itakayomhusu mchezaji huyo.


Source: MwanaspotiRead More