Eti! Gor Mahia wanamtaka Wanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eti! Gor Mahia wanamtaka Wanga

Mshambuliaji Allan Wanga kwa sasa anakipiga katika klabu ya Kakamega Homeboyz, ambako pia ameajiriwa kama Mkurugenzi wa michezo. Straika huyu timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, aliyepata kuichezea Sofapaka, Tusker FC, AFC Leopards, na Azam ya Tanzania, atakuwa nyota wa saba kusajiliwa na Gor Mahia, endapo dili hilo litafanikiwa.


Source: MwanaspotiRead More