Eti! Sarri akaribia kufunga mabegi yake Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eti! Sarri akaribia kufunga mabegi yake Chelsea

NI maumivu pale Stamford Bridge. Ndani ya dakika 24 juzi Jumapili Chelsea ilikuwa imechezea kichapo cha mabao 4-0. Ndani ya dakika 90 ilikuwa imechezea mabao 6-0. Na kuna watu wawili wametabiri Roman Abramovich ataondoka na kichwa cha mtu.


Source: MwanaspotiRead More