Eto’o astaafu soka rasmi, nyota Ulaya wamlilia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eto’o astaafu soka rasmi, nyota Ulaya wamlilia

Eto’o kupitia mitandao yake ya kijamii juzi alitangaza rasmi kuachana na maisha ya soka ndani ya uwanja, baada ya nyota yake kung’ara kwa miaka 22 akianzia mwaka 1997 katika Klabu ya Real Madrid ambayo ilitangaza jina lake vema.


Source: MwanaspotiRead More