Eto'o kuzindua uwanja soka la ufukweni Dar - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eto'o kuzindua uwanja soka la ufukweni Dar

Mchezaji nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona, Real Madrid, Chelsea na  Inter Milan, Samuel Eto’o atawasiji nchini keshokutwa Jumatano kwa ajili ya kuzindua ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa wachezaji watano eneo la Ufukwe wa Oysterbay .


Source: MwanaspotiRead More