Eto’o kuzindua uwanja wa soka Tanzania - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Eto’o kuzindua uwanja wa soka Tanzania

NAHODHA wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o anataraajia kuja nchini Tanzania 5 Oktoba, 2018 kuzindua ujenzi wa kiwanja cha mchezo wa mpira wa miguu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Uwanja huo ambao utakuwa unachezewa mpira wa miguu kwa wachezaji watano (Five a side) utajengwa katika eneo la Oysterbay jijini Dar es ...


Source: MwanahalisiRead More