Exclusive: Alikiba atuma vitisho Simba na Yanga kwa mazoezi makali (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Exclusive: Alikiba atuma vitisho Simba na Yanga kwa mazoezi makali (+video)

Mwanamuziki wa Bongo na mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Alikiba amewajibu kwa vitendo wale wote wanaombeza juu ya kiwango chake cha soka. Kiba ameonyesha kipaji cha hali ya juu kwenye mazoezi na kuwa kama salam kwa wote waliyokuwa wanadharau uwezo wake.The post Exclusive: Alikiba atuma vitisho Simba na Yanga kwa mazoezi makali (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More