EXCLUSIVE: Mchizi Mox ahofia ukubwa wa Diamond na Alikiba, adai unachangia kupunguza ubunifu kwa wasanii wa Bongo Fleva (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

EXCLUSIVE: Mchizi Mox ahofia ukubwa wa Diamond na Alikiba, adai unachangia kupunguza ubunifu kwa wasanii wa Bongo Fleva (+video)

Rapper Mchizi Mox mkali hits kama ‘Demu Wangu’ na ‘Chupa Nyingine’ amesema kuwa ukubwa na ushawishi wa wasanii wa muziki kama Diamond, Alikiba na Rich Mavoko unafanya wasanii wengine wawaige jambo ambalo linapunguza ubunifu kwenye muziki wetu.

The post EXCLUSIVE: Mchizi Mox ahofia ukubwa wa Diamond na Alikiba, adai unachangia kupunguza ubunifu kwa wasanii wa Bongo Fleva (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More