Fab Styles waweza kutokelezea kwa kutumia kitenge - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fab Styles waweza kutokelezea kwa kutumia kitenge

Hello


Ramadan Kareem


Karibu kwenye segment ya Mishono,today nakuletea njia mbalimbali ambazo waweza kutumia kitenge kutoka kotofauti kidogo.kushona belt ya kitenge kama hii,unaweza valia dresses au skirt zile za kukushika


Tumia shati nyeupe au pullneck kuvalia a kitenge top kama hii ,au ambayo ni ya offshoulder au hata ya kata mikono tu 


so cute 


changanya zaidi ya fabrics mbili kwenye mshono wako


kama hapa katumia kitenge,kitambaa cha stripes na cha chekechekekuvalia shati lako kwenye kitenge ,mshono wa kata mikono kama hivimix and match


kitambaa cha windowpane na kitenge... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More