Fabregas ataja wachawi waliomvua jezi Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fabregas ataja wachawi waliomvua jezi Chelsea

KIUNGO fundi wa mpira, Cesc Fabregas amesema ameamua kuihama Chelsea na kutimkia zake Monaco kwa sababu tu ya ujio wa kocha Maurizio Sarri na kiungo Jorginho kutoka Napoli huko Stamford Bridge mwaka jana.


Source: MwanaspotiRead More