FaceApp: App iliyojipatia umaarufu mkubwa ila pia imejikuta kwenye skendo - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FaceApp: App iliyojipatia umaarufu mkubwa ila pia imejikuta kwenye skendo

Je umeshatumia app ya FaceApp.? Hadi sasa utakuwa umekutana na picha za wazee kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii. Lakini tofauti ni kwamba hizi ni picha za watu ambao si wazee kwa sasa. App ya FaceApp imekuwepo kwa muda mrefu ila imepata umaarufu mkubwa wiki hii. Matokeo ya umaarufu huu umechangiwa na utumiaji wa app [...]


The post FaceApp: App iliyojipatia umaarufu mkubwa ila pia imejikuta kwenye skendo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More