Facebook kuja na sarafu yake ya kidijitali mwaka 2020 - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Facebook kuja na sarafu yake ya kidijitali mwaka 2020

Mtandao maarufu wa kijamii, Facebook umetangaza kuingiza sokoni sarafu isiyoshikika. Tangazo hilo kutoka Facebook linasema sarafu hiyo mpya ya kidijiti itakayoingizwa sokoni mwaka 2020 inaitwa ‘Libra‘. Taarifa hiyo imesema baada ya kuingizwa sokoni sarafu yake ya kidijitali ya kidijitali utakwenda sambamba na ujio wa mfuko maalum wa kuhifadhia sarafu hiyo na unaitwa ‘Calibra‘. Hata hivyo, [...]


The post Facebook kuja na sarafu yake ya kidijitali mwaka 2020 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More