Facebook yapanua mpango wa kutathmini usahihi wa taarifazinazochapishwa hadi nchi 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Facebook yapanua mpango wa kutathmini usahihi wa taarifazinazochapishwa hadi nchi 10 Kusini mwa Jangwa la Sahara


Jumatano, tarehe 9 Oktoba, 2019  Nchi za Kenya, Nigeria, Afrika Kusini, Cameroon, na Senegal ni miongoni mwa nchi ambazo zimejumuishwa katika mpango wa kuthibitisha taarifa zinazochapishwa kwenye mtandao wa Facebook uliotangazwa leo hadi kufikia nchi 10 barani Afrika. Mpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na Shirika la Agence France-Presse (AFP), France 24 Observers, Pesa Check na Dubawa, aidha mpango huu ni mkakati endelevu wa kupanua wigo wa kuthibitisha usahihi na ubora wa taarifa zinazochapishwa kwenye mtandao wa Facebook sambamba na kupunguza usambazaji wa taarifa za uongo kwenye mtandao huu. 

Mpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na mtandao wa mashirika ya habari yanayothibitisha usahihi wa taarifa 
yaliyoidhinishwa na Mtandao wa Kimataifa wa Kuthibitisha Taarifa usioegemea mrengo wowote, mpango huu wa uthibitisha taarifa zinazochapishwa utatekelezwa nchini Cote d’Ivoire, Ethiopia, Zambia, Somalia na Burkina Faso kupitia shirika la AFP,  nchini Uganda na... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More