FAHAMU Bei ya jezi mpya ya Ronaldo ‘Juventus’ - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FAHAMU Bei ya jezi mpya ya Ronaldo ‘Juventus’

Imekuwa ni wiki yenye furaha kwa Mreno, Cristiano Ronaldo baada ya kuvuta mkwanja mrefu  kutoka klabu ya Juventus wakati mashabiki wa vibibi hao wa Turin wakimiminika kununua jezi za staa huyo.Rasmi Cristiano Ronaldo ajiunga na Juventus ya ItaliaJezi halisi ya Ronaldo ambayo imetengenezwa na klabu ya Juventus ambazo ni za mechi za nyumbani zinagharimu kiasi cha dola 144.95 ambayo ni sawa na Tsh 329715.16.Jezi hiyo hiyo ya nyumbani kwa upande wa wanawake inagharimu kiasi cha dola 94.95 ambayo ni sawa na Tsh 215977.78Jezi hiyo hiyo ya nyumbani ya Ronaldo kopi yake ambayo siyo origino inauzwa kwa kiasi cha dola 104.95 sawa na Tsh 238687.62Wakati kwa watoto jezi hiyo ya nyumani unaweza kuinunua kwa dola 79.95 ambayo ni sawa na Tsh 181,848.64.Wakati mshahara wa mwalimu hapa nchini kima cha chini ni sawa na Tsh 331000 kwa mwezi.


Ronaldo mwenye umri wa miaka 33, ameingia kandarasi ya pauni milioni 105 kutua Juventus siku ya Jumanne akitokea Real Madrid.
Ronaldo alikutana na rais wa ti... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More